UJASIRIAMALI

Lazima Upende Biashara Yako Kwanza – Prof. Ngowi

Posted on

Ukiipenda biashara au kazi yako hautahitaji watu wakusukume, unachohitaji ni mwongozo ili uweze kufikia malengo yako. Kuanzisha biashara kunataka mipango, na unapojifunza kuhusu biashara ni vyema ukajua pia soko lako liko wapi na unawezaje kulifikia kwa urahisi. Biashara zinapitwa na wakati, ni vyema kuangalia mwenendo wa biashara kulingana na maendeleo ya kiteknolojia na fursa.

UJASIRIAMALI

Wanaume Lazima Muwe Chachu Ya Kutengeneza Kipato

Posted on

Prof. Ngowi alihudhuria warsha ya wanaume takribani 10,000 waliohudhuria katika siku ya wanaume iliyoandaliwa na Umoja wa Wanaume Katoliki (UWAKA) ambapo pamoja na mafundisho mengine alitoa shule ya ujasiriamali na biashara. Wanaume ndio viongozi wa jamii, na kama watakuwa chachu ya maendeleo na kutengeneza kipato basi kutoka ngazi ya taifa mpaka familia itakuwa na maendeleo […]

UJASIRIAMALI

Biashara ya viungo vya chakula inavyowaingia pesa vijana.

Posted on

Kutana na vijana wanaojihusisha na utengenezaji wa viungo vya chakula na vinywaji ambao wamejikita kwenye bisahara hii na kwa sasa wanayaona matunda yake. Vijana hawa wanakamua mafuta kutokana na maganda ya miti na matunda mbalimbali kama limao, ndimu, machaichai na machungwa. Wana mashamba makubwa katika mikoa mbalimbali Tanzania ambapo wanavuna malighafi hizi na kuzitengeneza kwa […]

UJASIRIAMALI

Umuhimu wa kuwa na mpango wa biashara

Posted on

Bila ya kuwa na mpango wa biashara sio rahisi kwa biashara kuendelea ama kukua, kama mfanyabiashara kabla ya kuanzisha biashara ni lazima uwe na mpango wa biashara. Ni mwongozo ambao unauweka ili kukuongoza katika biashara, kwa njia hii utaona faida ama hasara zikija. Mpango wa biashara unatakiwa uanze kabla ya kuanza biashara yenyewe, ila kama […]

UJASIRIAMALI

Jitofautishe na wafanyabishara wengine

Posted on

Unapoanzisha biashara ni lazima utafute utofauti katika biashara ili uweze kukamata soko, biashara inataka ushindani kwa hiyo ni muhimu kwa mfanyabisahara kuwa na ubunifu ili aweze kupenyeza kwenye soko. Biashara zinafanyika kwa ushindani, na unapogundua mapungufu kwenye biashara ya mwenzako, ni nafasi yako kuchukua yale mapungufu na kuyageuza kuwa fursa.