Chambuzi Za Uchumi

Jukumu La Kupambana na Umaskini ni Lako Binafsi

Posted on

“Hauwezi kuepukana na Umasikini kama wewe mwenyewe haujaamua kuukataa Umasikini na kuuchukia kwa vitendo.” ni baadhi ya maneno utakayoyasikia kutoka kwa vijana wachambuzi wa maswala ya uchumi na wajasiriamali. Vijana mbalimbali wanatunaasa kupambana dhidi ya umasikini kwa nguvu zote, lakini hatuwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na mipango/mikakati madhubuti. Wakifuatiwa na caambuzi mahri kutoka kwa Prof. Ngowi, […]

DARASA LA UJASIRIAMALI

Unawezaje Kuingiza Kipato Katika Msimu Wa Sikukuu?

Posted on

Msimu wa sikukuu ni kipindi ambacho jamii inafanya manunuzi ya mahitaji mbalimbali. Ni kipindi ambacho mjasiriamali anatakiwa kuonesha ubunifu katika kuuza na kutangaza bidhaa zake ili kuvutia wateja zaidi. Prof. Ngowi anatoa maelezo ya kitaalam kuhusiana na msimu mzima wa sikukuu na jinsi mjasiriamali anaweza kujiongezea kipato chake kulingana na mahitaji/fursa ya wakati huo kwenye […]

DARASA LA UJASIRIAMALI

Sifa Za Mjasiriamali Mzuri – Part 1

Posted on

Huu ni mfululizo wa wa vipindi vya kijasiriamali vya Prof: Ngowi vinavyolenga kutoa elimu ya masala ya kijasiriamali kwa watanzania wote ili kuwawezesha upata maarifa na hatimaye maarifa nayo yawe msaada kwao binafsi na Taifa kwa ujumla. Jina la kipindi ambalo pia ndilo jina la somo ni SIFA ZA MJASIRIAMALI BORA/MZURI. Kipindi hiki imegawanywa katika […]