Chambuzi Za Uchumi

Jukumu La Kupambana na Umaskini ni Lako Binafsi

Posted on

“Hauwezi kuepukana na Umasikini kama wewe mwenyewe haujaamua kuukataa Umasikini na kuuchukia kwa vitendo.” ni baadhi ya maneno utakayoyasikia kutoka kwa vijana wachambuzi wa maswala ya uchumi na wajasiriamali. Vijana mbalimbali wanatunaasa kupambana dhidi ya umasikini kwa nguvu zote, lakini hatuwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na mipango/mikakati madhubuti. Wakifuatiwa na caambuzi mahri kutoka kwa Prof. Ngowi, […]

UJASIRIAMALI

Lazima Upende Biashara Yako Kwanza – Prof. Ngowi

Posted on

Ukiipenda biashara au kazi yako hautahitaji watu wakusukume, unachohitaji ni mwongozo ili uweze kufikia malengo yako. Kuanzisha biashara kunataka mipango, na unapojifunza kuhusu biashara ni vyema ukajua pia soko lako liko wapi na unawezaje kulifikia kwa urahisi. Biashara zinapitwa na wakati, ni vyema kuangalia mwenendo wa biashara kulingana na maendeleo ya kiteknolojia na fursa.

UJASIRIAMALI

Wanaume Lazima Muwe Chachu Ya Kutengeneza Kipato

Posted on

Prof. Ngowi alihudhuria warsha ya wanaume takribani 10,000 waliohudhuria katika siku ya wanaume iliyoandaliwa na Umoja wa Wanaume Katoliki (UWAKA) ambapo pamoja na mafundisho mengine alitoa shule ya ujasiriamali na biashara. Wanaume ndio viongozi wa jamii, na kama watakuwa chachu ya maendeleo na kutengeneza kipato basi kutoka ngazi ya taifa mpaka familia itakuwa na maendeleo […]