Kampuni inayosaidia kukuza mawazo na kuyafanya yawe biashara zeye manufaa – Sehemu ya pili

BIO Innovation Hub ilianzishwa mwaka 2019 kwa nia ya kusaidia jamii, vikundi, wafanyabiashara na makampuni kugeuza mawazo yao kuwa halisia. Wanatoa mafunzo, ushauri, mitaji, vifaa na kadhalika kwa walio na mawazo ya biashara na ubunifu na mpaka sasa wameshasaidia makapuni matano kufikia ndoto zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *