Wafanyabiashara waaswa kuendana na kasi ya uchumi wa viwanda

Tanzania imeingia kwenye uchumi wa kati, na mojawapo ya mambo yanayoendelea kwa kasi ni viwanda. Kuingia uchumi wa viwanda nia hatua kubwa ya nchi yetu na hivyo ni jukumu la kila mfanyabiashara/mjasiriamali kuendana na kasi hii ambayo inaleta fursa mbalimbali za kiuchumi. Rai hii ilitolewa na Prof Ngowi alipoenda kutoa mafunzo kwenye semina iliyoandaliwa na TNGP kwa ajili ya vijana wajasiriamali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *