Lazima Upende Biashara Yako Kwanza – Prof. Ngowi

Ukiipenda biashara au kazi yako hautahitaji watu wakusukume, unachohitaji ni mwongozo ili uweze kufikia malengo yako. Kuanzisha biashara kunataka mipango, na unapojifunza kuhusu biashara ni vyema ukajua pia soko lako liko wapi na unawezaje kulifikia kwa urahisi. Biashara zinapitwa na wakati, ni vyema kuangalia mwenendo wa biashara kulingana na maendeleo ya kiteknolojia na fursa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *