Sifa Za Mjasiriamali Mzuri (Pt 3)

Ujasiriamali una sifa zake na mambo ya msingi ambayo mjasiriamali anatakiwa kuwa nayo. Mjasiriamali anatakiwa kuona fursa za biashara na uchumi katika mazingira yake na kuyafanyia kazi, mengi utayasikia kutoka kwa Prof Ngowi ambaye ni mtaalam wa mambo ya bishara na uchumi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *