UJASIRIAMALI

Jitofautishe na wafanyabishara wengine

Posted on

Unapoanzisha biashara ni lazima utafute utofauti katika biashara ili uweze kukamata soko, biashara inataka ushindani kwa hiyo ni muhimu kwa mfanyabisahara kuwa na ubunifu ili aweze kupenyeza kwenye soko. Biashara zinafanyika kwa ushindani, na unapogundua mapungufu kwenye biashara ya mwenzako, ni nafasi yako kuchukua yale mapungufu na kuyageuza kuwa fursa.