SPECIAL TOPICS

Mkutano wa kitaifa wa kilimo

Posted on

Bajeti jumuishi inawanufaisha wananchi wote pamoja na wakulima katika kuhakikisha kuwa kilimo kinaleta tija kwenye uchumi wa nchi yetu. Mkutano huu uliandaliwa na ACTION AID na ulihudhuriwa na wadau mbalimbali wa kilimo ikiwemo waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe ambaye aliwakilisha serikali ya Tanzania katika mazungumzo na wananchi.

SPECIAL TOPICS

Tuzo za ubora wa elimu za mwaka 2019

Posted on

Maandalizi ya Tuzo za za kwanza kufanyika nchini, tuzo za Ubora wa Taaluma katika elimu zitakazofanyika jumamosi hii ya tarehe 26 mwezi huu wa October 2019, katika ukumbi wa Mlimani City, yamekamilika na inategemewa tuzo hizo kuhudhuriwa na waatu takribani elfu tatu. msikilize mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Afisa Elimu wa Mkoa, Ngugu Khamis Lissu.