UJASIRIAMALI

Bajeti Mpya

Posted on

Bajeti mpya ya fedha kwa mwaka 2017/18 imetoka, je mjasiriamali anafaidika vipi na bajeti mpya? Kutangazwa kwa bajeti ni fursa kubwa kwa wajasiriamali kama wataichambua na kudadavua wapi wanaweza kuingiza kipato.