NJE YA BOX

“Vijana tujenge uthubutu”- Ibrahimu Juma

Posted on

“Kama ukiendelea kukaa vijiweni na kupiga kelele juu ya tatizo la umasikini linalokukabili basi utabaki kuwa mpiga filimbi tu na kamwe hautatoka. Msikilize IBRAHIMU JUMA kijana mwenye fikra kubwa na maono chanya akitoa maarifa kwa vijana wa kitanzania jinsi ya kuondokana na umasikini ndani ya kipindi cha NJE YA BOX

UJASIRIAMALI

Mpango wa biashara

Posted on

Kabla ya kuanza biashara yeyote lazima kuwe na mpango wa biashara, mpango huu ni muhimu sana katika shughuli nzima za biashara na ujasiriamali. Katika mafunzo haya Prof Ngowi anaelezea kuhusu nini maana ya mpango wa biashara, mpango biashara una faida gani na jinsi gani mtu anaweza kutengeneza mpango kazi.