“Amini ndoto zako” – Ndesumbuka Merinto

Mjasiriamali anatakiwa kujiamini binafsi, aamini katika noto yake/zake. Kipaji chake ni kama chimbo la dhahau ambalo uchimbaji wake ndio utategemea matokeo mazuri au mabaya ya kazi/biashara yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *