Mende anapogeuka kuwa chanzo cha mapato.

Katika makala hii utajifunza kutoka kwa mjasiriamali Liula Daniel, mfugaji wa Mende ambaye anambadilisha mende kutoka kwenye mtazamo hasi wa kuwa mdudu mchafu zaidi na chanzo cha maradhi na kumfanya kuwa rasimali kubwa inayoingiza kipato na utajiri. Mjasiriamali huyu ametimiza nyingi kati ya sifa kubwa za mjasiriamali mzuri ambazo Prof: Ngowi amekuwa akizifundisha na kuzihubiri, ambayo ni kuthubutu, kutambua fursa na kuzitendea haki, lakini zaidi sana kufanya mambo ambayo wengine hawafikirii au hawawezi kuyafanya. jifunze kupitia makala hii inayo onekana hapa Ngowi TV pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *