“Usikubali Kuzama Na Biashara Yako” – Prof Ngowi

Kama mjasiriamali lazima utakumbana na matatizo mbalimbali, lakini hutakwi kukubali kuzama na biashara yako. Tafuta suluhu ya matatizo, ikiwezekana badilisha mfumo wa biashara ili usizame nayo uendelee na safari ya ujasiriamali.