“Ukianguka, Simama Tena” – Prof Ngowi

Prof. Ngowi anatoa ujumbe kwa wajasiriamali kuwa endapo watapata matatizo na kuanguka, wasikate tamaa. Ili biashara isonge mbele ni lazima ipitie vikwazo, na mjasiriamali hatakiwi kukata tamaa.