Unawezaje Kuingiza Kipato Katika Msimu Wa Sikukuu?

Msimu wa sikukuu ni kipindi ambacho jamii inafanya manunuzi ya mahitaji mbalimbali. Ni kipindi ambacho mjasiriamali anatakiwa kuonesha ubunifu katika kuuza na kutangaza bidhaa zake ili kuvutia wateja zaidi. Prof. Ngowi anatoa maelezo ya kitaalam kuhusiana na msimu mzima wa sikukuu na jinsi mjasiriamali anaweza kujiongezea kipato chake kulingana na mahitaji/fursa ya wakati huo kwenye jamii inayomzunguka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *