Documentary – Part 1

Karibu Ngowi TV ukutane na Prof. Ngowi ambaye ni nguli na mtaalam wa maswala ya uchumi akielezea kinaga ubaga kuhusu swala zima la uchumi wa dunia, uchumi wa nchi na uchumi wa mtu binafsi. Ngowi TV inajikita kweye kuelimisha jamii katika maswala mazima ya uchumi na biashara katika sekta mbalimbali, msikilize akitueleza zaidi.

PART ONE