Jukumu La Kupambana na Umaskini ni Lako Binafsi

“Hauwezi kuepukana na Umasikini kama wewe mwenyewe haujaamua kuukataa Umasikini na kuuchukia kwa vitendo.” ni baadhi ya maneno utakayoyasikia kutoka kwa vijana wachambuzi wa maswala ya uchumi na wajasiriamali. Vijana mbalimbali wanatunaasa kupambana dhidi ya umasikini kwa nguvu zote, lakini hatuwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na mipango/mikakati madhubuti. Wakifuatiwa na caambuzi mahri kutoka kwa Prof. Ngowi, wanatuanzishia kurasa mpya katika kipindi hiki ambacho kuna mageuzi mbalimbali ya kiuchumi yanayozalisha fursa mbalimbali kwa wajasiriamali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *