Wanaume Lazima Muwe Chachu Ya Kutengeneza Kipato

Prof. Ngowi alihudhuria warsha ya wanaume takribani 10,000 waliohudhuria katika siku ya wanaume iliyoandaliwa na Umoja wa Wanaume Katoliki (UWAKA) ambapo pamoja na mafundisho mengine alitoa shule ya ujasiriamali na biashara. Wanaume ndio viongozi wa jamii, na kama watakuwa chachu ya maendeleo na kutengeneza kipato basi kutoka ngazi ya taifa mpaka familia itakuwa na maendeleo ya haraka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *