VIBINDO washukuru chuo cha Mzumbe kwa mafunzo.

Wafanyabiashara wadogo kutoka VIBINDO society, wamekishukuru chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, kwa kuwawezesha kupata mafunzo bure kwa miaka mitatu mfululizo, na kusema mafunzo hayo yamewawezesha kukua kijasiriamali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *