Ufunguzi wa Anga na matokeo chanya kusisimua uchumi wa nchi.

Mchambuzi na Mbobezi wa maswala ya uchumi, Prof. Ngowi, achambua kwa kina jinsi ambavyo hatua ya ufunguzi wa anga na kuruhusu usafiri wa ndege utakavyo saidia kusisimua uchumi na akianisha sekta mbalimbali zitakazo pata matokeo chanya ya moja kwa moja, kutokana na hatua hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *