Umuhimu wa kuwa na mpango wa biashara

Bila ya kuwa na mpango wa biashara sio rahisi kwa biashara kuendelea ama kukua, kama mfanyabiashara kabla ya kuanzisha biashara ni lazima uwe na mpango wa biashara. Ni mwongozo ambao unauweka ili kukuongoza katika biashara, kwa njia hii utaona faida ama hasara zikija. Mpango wa biashara unatakiwa uanze kabla ya kuanza biashara yenyewe, ila kama umeanza biashara na huna mpango biashara unaweza kuutengeneza hujachelewa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *