Hatua zinazopaswa kutumika kuulinda uchumi wetu katika kipindi cha COVID-19

Prof. Honest P. Ngowi, katika kipindi chake cha Chambuzi za Kiuchumi, anaainisha hatua kadhaa muhimu ambazo zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na athari za kiuchumi zinazolikabili Taifa na Dunia kwa ujumla wakati huu ambapo janga la Corona, limeikumba Dunia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *