Wanawake washauriwa kujipanga ili kukwepa ugumu kwenye marejesho ya mikopo

Marejesho ya mikopo kwenye biashara nyingi hupata ugumu kwa sababu wajasiriamali wengi huwa hawajajipanga kwenye marejesho kabla ya kuchukua mikopo. Kwa sasa kuna taasisi nyingi za kifedha ambazo zinatoa mikopo nafuu kwa wanawake ama vikundi vya wanawake lakini urejeshaji wa mikopo hiyo huwa mgumu. Mipango ya biashara husaidia kuhakikisha marejesho yanafanyika kwa wakati bila kufikia hatua ya kutaifisha mali au kupelekana mahakamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *