Eneo Huru la Biashara Afrika (Africa Continental Free Trade Area (ACFTA))

Prof. Ngowi akijadili mada iitwayo Eneo Huru la Biashara Afrika, yani, African Continental Free Trade Area (ACFTA), kwenye kipindi chake kipya kabisa na cha kwanza mwaka huu kiitwacho CHAMBUZI ZA UCHUMI, Kitakachokuwa kikonekana hapahapa kwenye chanel yako pendwa ya Maswala ya kichumi Ngowi TV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *