Mkutano wa kitaifa wa kilimo
Posted onBajeti jumuishi inawanufaisha wananchi wote pamoja na wakulima katika kuhakikisha kuwa kilimo kinaleta tija kwenye uchumi wa nchi yetu. Mkutano huu uliandaliwa na ACTION AID na ulihudhuriwa na wadau mbalimbali wa kilimo ikiwemo waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe ambaye aliwakilisha serikali ya Tanzania katika mazungumzo na wananchi.