Gumzo la pilipili ya VIVA Plus
Posted onMjasiriamali Mc Luciana, mkurugenzi wa kampuni ya Viva Plus , ambao ndiyo wazalishaji wa Pilipili ya Viva Plus, athibitisha kwamba wajasiriamali watanzania wakiamua basi wanaweza. Tazama makala haya na ujionee ni nini maana ya ubunifu.