Global Link yazidi kujenga daraja la watanzania kusoma nje

Kampuni ya Global Link inayojihusisha na sekta ya elimu imejikita zaidi katika kuhakikisha na kusaidia watanzania wanataka kusoma nje ya nchi katika ngazi zote za elimu hasa vyuo vikuu. Kwa miaka kadhaa wamekuwa wakisaidia upande wa kutafuta vyuo/shule, usajili, usafiri na hata kutafuta malazi kwa watanzania wanaoenda kusoma nje. Hii imewarahisisha mambo na kuepusha wananchi kutapeliwa kama ilivyokuwa zamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *