Makala Maalum kwa watu wa Dodoma

Serikali. inapoahamia Dodoma, je wakazi na wenyeji wamejipanga vipi ili kufaidika na changamoto zilizo mbele yao? Msikilize Prof: Ngowi anapotanabaisha umuhimu wa wenyeji kujiongeza kwa kuzitambua fursa na kuzitumia ili kukabiliana na nguvu ya wageni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *