“Umasikini hauondoki kwa kulala” – Luwasa Sakaya

Umasikini unaweza kuondoshwa tu kama tutafanya kazi kwa bidii, ama wasemavyo wahenga “mkono mtupu haulambwi”. Bila juhudi, hakuna tunachoweza kufanikiwa kwenye chochote tunachofanya kwenye biashara na maisha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *