“Umasikini hauondoki kwa kulala” – Luwasa Sakaya
Posted onUmasikini unaweza kuondoshwa tu kama tutafanya kazi kwa bidii, ama wasemavyo wahenga “mkono mtupu haulambwi”. Bila juhudi, hakuna tunachoweza kufanikiwa kwenye chochote tunachofanya kwenye biashara na maisha.