“Hakuna kumuacha mtu nyuma kimaendeleo” – Prof Ngowi

Katika mpango wa maendeleo endelevu inawekwa wazi kwamba hakuna kumacha mtu nyuma kimaendeleo. Ni jukumu la kila mmoja kutojiweka nyuma kimaendeleo ili aweze kufikia malengo yake binafsi au ya jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *