“Ukiona fursa, itumie vizuri” – Prof Ngowi

Unapopata fursa ya kibiashara unatakiwa uitumie ipasavyo kwa sababu mara nyingi fursa huwa hazijirudii. Kuna umuhimu mkubwa kuhakikisha hupitwi na fursa mbalimbali kama mjasiriamali.