“Chukua Hatua” – Rose Sarwatt

Bila kuchua hatua huwezi kuanzisha au kuendeleza chochote, kijana Rose anawaasa wajasiriamali, wanafunzi, wafanyabiashara. Upochukua hatua basi hata milango/fursa zinapotokea ni rahisi kuzikamata kwa sababu unakuwa tayari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *