UJASIRIAMALI

Fursa katika Ujasiriamali

Posted on

Kuna fursa nyingi katika sekta nzima ya ujasiriamali, je mjasiriamali atajuaje fursa ambazo anaweza kuzitumia kujiongezea kipato? Je ni fursa zipi zinamfaa na zipi hazimfai? Je ni wakati gani hasa wa kukimbilia fursa zinazojitokeza? Prof Ngowi anatoa darasa maridadi kwa watu wote katika eneo hili adhimu.

UJASIRIAMALI

Mende anapogeuka kuwa chanzo cha mapato.

Posted on

Katika makala hii utajifunza kutoka kwa mjasiriamali Liula Daniel, mfugaji wa Mende ambaye anambadilisha mende kutoka kwenye mtazamo hasi wa kuwa mdudu mchafu zaidi na chanzo cha maradhi na kumfanya kuwa rasimali kubwa inayoingiza kipato na utajiri. Mjasiriamali huyu ametimiza nyingi kati ya sifa kubwa za mjasiriamali mzuri ambazo Prof: Ngowi amekuwa akizifundisha na kuzihubiri, […]

UJASIRIAMALI

JINSI YA KUJITOFAUTISHA KIBISHARA

Posted on

EJ, kama mjasiriamali unafanya kitu gani cha tofauti kwenye jamii au biashara yako> Je, umeupa ubunifu nafasi gani? Msikilize Prf. Ngowi akitupa dondoo za jinsi ya kutofautisha biashara yako na ya mtu mwingine ili kujiongezea nafasi zaidi ya kipato na fursa nyingine mf mkopo nk.