“Maisha Hayana Viti Maalum” – Rose Sarwatt

Katika shughuli za kila siku, ni vyema kutambua kuwa ili ufanikiwe ni lazima uchukue hatua. Maisha mazuri hayaji kirahisi, na ili uondokane na hali uliyonayo sasa hivi ni lazima uwe na njaa ya mafanikio. Shauku yako ndio iwe chachu ya mafanikio yako, maisha hayana viti maalum.