Sifa Za Mjasiriamali Mzuri – Part 2

NI muendeleazo wa sehemu ya kwanza ya kipindi ambapo Prof. Ngowi anaendelea kuchambua sifa za mjasiriamali bora. Ujasiriamali unataka nguvu ya ziada kutoka kwa mfanyabiashara ili aweze kuendelea na biashara hata kama anapambana na masoko au mabadiliko ya uchumi.

PART 2