Tofautisha Bashara Yako na Mwingine

Hiki ni kipindi ambacho Prof: Ngowi anawafundisha wajasiriamali umuhimu wa kuwa wabunifu na kujitofautisha na wengine. Prof: Ngowi anafundisha mbinu kadhaa zitakazopelekea biashara yako kusimama na kupiga hatua dhidi ya changamoto mbalimbali.