Documentary – Part 2

Prof. Ngowi akiendelea kuelezea jinsi anavyofanya kazi mbalimbali za kijamii na kiserikali akisaidia katika sekta nzima ya biashara na uchumi kitaifa na kimataifa. Kuanzishwa kwa Ngowi TV umejikita zaidi katika kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ya kijamii.

PART 2