“UNAPOIONA FURSA NA UKASHINDWA KUITENDEA HAKI, UNABAKI KUWA FUNGU LA KUCHEKWA.” – Prof. Ngowi

Makala maalumu inayoonyesha jinsi wakazi wa kijiji kidogo cha USWAZI YA CHINI, mkoani Morogoro wanavyotengeneza kipato kutokana na kuitumia fursa ya uwepo wa chuo Kikuu cha Mzumbe, huku Prof. Ngowi akitumia mifano ya vyuo na taasisi mbalimbalimbali Tanzania na Duniani, kufundisha wajasiriamali jinsi ya kuzitambua na kuzitumia fursa zilizopo katika taasisi zinazowazunguka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *